Оберіть трек для відтворення
Dully Kibody
Ah Vitamini O
Mh, Gigy Money
Kifo cha mende bingiri chali
Utamu wa asali siku hizi sadali
Ananiita mkali
Kapagawa na misondo mikanyago
Msela hitkeli sili mpaka nipige show
Mimi kwa huyu nikileta usela nitafeli
Muimba kisingeli kapata mtoto wa tajiri
Mimi ndiye niliye mfundisha
Kutoa kitu avute mimi
Mi nikamfundisha
Kwenda club turuke
Mimi ndiye niliye mfundisha
Mapenzi yanavyofanywa
Mimi nikamfundisha
Mpaka anaitwa mamaa
Kwani mimi namuita nani? Ma Mkali
Yeye anaitwa nani? Ma Mkali
Kwani anaitwa nani? Ma Mkali
Yeye ndo kanifundisha kutoa kitu nivute
Akanifundisha kwenda klabu niruke
Akanifundisha mapenzi yanavyofanywa
Akasababisha mpaka naitwa mama
Kwani mimi namuita nani? Ma Mkali
Yeye anaitwa nani? Ma Mkali
Kwani anaitwa nani? Ma Mkali
Oy-ah-he
Kanifunza mengi kwanza niache mapepe
Kanipa ujasiri, kanipa kitu niwashe
Kanipa utamu—sishiwi hamu
Yeye ndo kanitoa damu
Mimi namuita Baba Mkali, ananiita Mama Mkali
Nyie mnamuita Sadali, mimi namuita Mkali
Namuita Baba Mkali, ananiita Mama Mkali
Nyie mnamuita Sadali, mimi namuita Mkali
Yeye ndo kanifundisha kutoa kitu nivute
Akanifundisha kwenda klabu niruke
Akanifundisha mapenzi yanavyofanywa
Akasababisha mpaka naitwa mama
Kwani mimi namuita nani? Ma Mkali
Yeye anaitwa nani? Ma Mkali
Kwani anaitwa nani? Ma Mkali
Asandee Shahidani
We Tajiri PM From Keko Furniture
We 2pack wa Road
Anko G, G, G, We