(It's Bob Manecky)
Na-na-na-na
Na-na-na-na
Na-na-na-na
Na-na-nah
Zinanitoka goosebumps, nikisikia jina lako
Mi' nina weuka, kabisa mi' ni chizi wako
Na kama ni mganga eh, mzuri huyo mganga wako
Sio kwa kunipumbaza huku, baby, hmm
Mammy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya, eh
Tena na sukari guru, utamu nikitafuna, eh
Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya, eh
Tena na sukari guru, utamu nikitafuna, eh (mm-hmm)
Kama ni pilipili ma', acha ukali niusikie (na-na-na-na, na-na-nah)
Kama ni vita mama, acha adui wanivamie (na-na-na-na, na-na-nah)
Kama we' ni asali ma', acha na nyuki wanivamie (na-na-na-na, na-na-nah)
Lakini penzi lako baby, hata kidogo lisipungue (na-na-na-na, na-na-nah)
No, no-no-oh
Zaidi, zaidi, zaidi (zaidi), hmm-mmh
Nipe, nipe zaidi, zaidi (zaidi), hmm
Wewe, zaidi, zaidi (zaidi)
Wewe, nipe zaidi, zaidi (zaidi)
(Yeah-yeah, yeah-yeah, yeah)
(Yeah-yeah, yeah)
(Yeah-yeah, yeah-yeah)
(Yeah-yeah, yeah-yeah, yeah-yeah)
Nanyoosha mikono juu (juu), kwako mi' nime surrender
Naona maajabu, sungura kazidiwa ujanja
Nimekuwa zuzu-zuzu-zu
Nimekuwa bubu-bubu-bu
Nimekuwa mbumbumbu, baby, eh
Nimekuwa zaidi ya nyumbu
Sioni, sisikii
Ah, sioni, sisikii, baby
Kama ni pilipili ma', acha ukali niusikie (na-na-na-na, na-na-nah)
Kama ni vita mama, acha adui wanivamie (na-na-na-na, na-na-nah)
Kama we' ni asali ma', acha na nyuki wanivamie (na-na-na-na, na-na-nah)
Lakini penzi lako baby, hata kidogo lisipungue (na-na-na-na, na-na-nah)
No, no-no-oh
Zaidi, zaidi, zaidi (zaidi), hmm-mmh (yeah)
Nipe, nipe zaidi, zaidi (zaidi), hmm
Wewe, zaidi, zaidi (zaidi)
Wewe, nipe zaidi, zaidi (zaidi)
(Zaidi yeah-eh)
Mammy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya, eh
Tena na sukari guru, utamu nikitafuna, eh
Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya, eh
Tena na sukari guru, utamu nikitafuna, eh (mm-hmm)