Оберіть трек для відтворення
Umenibeba kama cyclone
Umenificha umeniweka ndani ya mfuko kama iphone
Ukinihitaji I’ll be in the right mode
Mapenzi nyangu ni ya kila siku kila timezone
Walikudanganya, Eti mwanaume kazi yangu huwa ni kuhanya
But mimi baby sina haja na kitanda
‘Cause what I’ve got in store for you hutakin girl kuhata
Ni wewe tu
Unielewe u
Nipeleke juu
Kama mwewe u
Sinitese u
Sinitese u
Shika barabara, anza kujipanga
Kuja kwangu fasta, Uber ukitaka
Vile unataka, Mi sina haraka
Nipe moyo wako, nitakupa ladha
Acha kujishuku, Mi sina ubaya
Mola yuko hapa, Mimi, we na jahjah
Twende vipasana
Jua umesuffer, shows tutachapa, shows tutachapa
Umenibeba kama cyclone
Umenificha umeniweka ndani ya mfuko kama iphone
Ukinihitaji I’ll be in the right mode
Mapenzi nyangu ni ya kila siku kila timezone
Walikudanganya, Eti mwanaume kazi yangu huwa ni kuhanya
But mimi baby sina haja na kitanda
‘Cause what I’ve got in store for you hutaki girl kuhata