Оберіть трек для відтворення
Hmmm hmmm
Ooooh ohhhh
Hmmmm
Eeeh
Hmmmm
Fundi kiatu changu chalegea
Uko wapi bwana nakuhitaji
Tatizo langu ulisema walielewa
Fundi kiatu changu chalegea
Fundi kiatu changu chalegea
Uko wapi bwana nakuhitaji
Tatizo langu ulisema walielewa
Najua ulipo nitakufuata
Oh oh oh oh
Ndiwe tu ntakayekuletea tatizo langu
Uzoefu wako hapana shaka yoyote
Nalipelekaje kiatu changu kwa seremala
Asiyeweza kuelewa
Ehhhhh
Hmmmm
Seremala kiti kina tatizo
Upo wapi sasa nakuhitaji
Tatizo langu ulisema walielewa
Najua ulipo ninakufuata
Oh oh oh oh
Ndiwe tu ntakayekuletea tatizo langu
Uzoefu wako hapana shaka yoyote
Nalipelekaje kiti changu kwake bawabu
Asiyeweza kuelewa
Moyo wangu Bwana una tatizo (ehhhh)
Upo wapi Bwana nakuhitaji (hmmm)
Tatizo langu ulisema walielewa (ehhhh)
Najua ulipo ninakufuata (hmmm)
Moyo Wangu
Moyo wangu Bwana una tatizo (moyo wangu moyo wangu)
Upo wapi Bwana nakuhitaji (nina tatizo una suluhu)
Tatizo langu ulisema walielewa (ninakungoja ninakungoja)
Najua ulipo ninakufuata
Oh oh oh oh
Ndiwe tu ntakayekuletea tatizo langu
Uzoefu wako hapana shaka yoyote
Naupelekaje moyo wangu kwa wanadamu
Wasioweza kuelewa
Oh oh oh oh
Ndiwe tu ntakayekuletea tatizo langu
Uzoefu wako hapana shaka yoyote
Naupelekaje moyo wangu kwa wanadamu
Wasioweza kuelewa
Naupelekaje moyo wangu kwa wanadamu
Wasioweza kuelewa
Naupelekaje moyo wangu kwa wanadamu
Wasioweza kuelewa
Nauleta moyo wangu kwako ewe Bwana wangu
Unayeweza Kuelewa