Оберіть трек для відтворення
Ouyeee, uuuh
Nimekukimbilia, BWANA
Nisiaibike milele
Kwa haki yako uniponye
Unitegee, sikio lako
Maneno ya Kinywa changu
Mawazo ya Moyo wangu, BWANA
Na matendo yangu
Yapate kibali kwako, ooh
Unifundishe YESU
Zibadili fikra zangu, BWANA
Yale nisoyajua, nijurishe BWANA (ooh, BWANA)
Mmh, BWANA naomba
Nijifunze kwako BWANA (ooh, nijifunze BWANA)
Kwako BWANA (YESU wangu)
Nijifunze kwako BWANA (Wewee)
Kwako BWANA (Maarifa na Hekima)
Nijifunze kwako BWANA (Nijifunze kwako, we BWANA)
Kwako BWANA (kuishi kwa Utakatifu)
Nijifunze kwako BWANA (BWANA YESU)
Kwako BWANA (uuh)
Ooh, YESU wangu
Ooh Halleluya, uuh
Mmmh
Kuishi Nawe ni darasa
Natamani nijifunze siku zote
Ili hatua zangu, zikupendeze BWANA
Wakati wa Vita yangu, ili nisiangamie
Unifundishe kupigana
Niwe shujaa ah, kama Wewe
Mmh, unifundishe YESU
Zibadili fikra zangu-iee
Yale nisiyoyajua, nijurishe BWANA, ooh
BWANA naomba
Nijifunze kwako BWANA (nakuomba YESU)
Kwako BWANA (eh Baba, Haja ya Moyo wangu)
Nijifunze kwako BWANA (ooh, BWANA)
Kwako BWANA (ooh, Enseigne moi s'il te plaît)
Nijifunze kwako BWANA (Nijifunze kwako YESU)
Kwako BWANA (nikufanane)
Nijifunze kwako BWANA (ooh, BWANA)
Kwako BWANA