Оберіть трек для відтворення
Yo-Yoo!
Narko
Wafalme! Gang! Gang!
Mbogi wafalme mbogi warena
Wf kwa scene, buda chunga unaeza genya
Big up Carty, Big up MG
Big up Skinny, yo! yo!
Last year nilipenda mgaldem
This year ni ganji na violence
Ka ni scene inapigwa talent
Geri ikistep kawaida no tolerance
Usistress ju ya watoto wadogo
Gun ningebuss but i wont ka Turbulence
Tunachase maganji mnachase punany
Ganji porini ndo happiness
Mkoro alipata kinusu kwa room
Mkiddy wa mine, what happened?
Morio angeganda jo after tumchai lakini alidash visudden
Vile shawry anablow Bin Laden
Up down around ati fuck io ni talent
Akizidi kuileta io design ndabuss ka saba mgongoni ka Mbappe
W wafalme si west so mabuda karibu wild wild east
Doba mnatoa na hampigi adi scene anything not black get yinged
Kuna mbogi imeshindwa kuslide nkithani ni juu ndenga inatema iko jing
Wengine wanabeef wenyewe kwa wenyewe riang ni kugeuzia wazing
Mi nataka hii shit iget real nataka mjaribu kuslide na kuching
Wanasema ni makings of drill, ati kings of drill si mprove io shit
Wf 33 34 35 ni wapi mtapiga jo scene
Ukapi nimebeba ni ya emergencies only leo niko isaa ya viding
Plug amecall kujieni mamali hajui hatukam na ganji
Kufika kwa scene plug amepach ni kaa alijua hali ni gani
Msupake analia chukueni lakini achaneni na ye tafadhali
Baby, si si wanyama na si kwa ubaya ni vijana wako kazi
G check g check
Oppblock on attack no defense
Mali ni chwez kuna maslim kuna maboza na bado unarequest
My ting wicked
Rokos haamini naset angejua ati bado naposses with intent
Very soon niko trap kwa kitchen very soon ndaball ka Pippen

Wafalme na Carty kwa scene, tunadouble tap utathani ni tag team
Kelele iko wapi?
Nothing special dont know where the bloodclart hype is
Alidai kunitrace nikajua jo ye ni fala masaa alipita jo backstreet
Nadungiwa na nani? morio uko wapi? unadai ngapi?
Nimekuja kwa fom na stock nangoja zilandi nirudi kejani
Kuna ayela uko westy, mi wa east lakini namteka kilami
Anajifanya anataka magode ni mboko anadai mi najua anyanyangi
Nikifika habongi, nikitoka ati narko you own this pongi
Umeshinda ukipiga mapicha na ndenga ikifika kwa zogo hutoi
Naskia nilikanga huo fala mi sikumbuki nilikuwa jo masongi
Mdomo uko nayo ukiwa online tukikutrace we ni bubu hubongi
G check g check
Oppblock on attack no defense
Mali ni chwez kuna maslim kuna maboza na bado unarequest
My ting wicked
Rokos haamini naset angejua ati bado naposses with intent
Very soon niko trap kwa kitchen very soon ndaball ka Pippen
G check g check
Oppblock on attack no defense
Mali ni chwez kuna maslim kuna maboza na bado unarequest
My ting wicked
Rokos haamini naset angejua ati bado naposses with intent
Very soon niko trap kwa kitchen very soon ndaball ka Pippen
Big up Skinny, big up Papps, big up mbogi yote
Gangshit ka kawa, yo
Narko, Wf szn, Gang!