Оберіть трек для відтворення
Dully Kibody
Ahaa vitamin Yooh
Ah msomali hapa
Hata na mimi nabonyeza reli
Naiitwa Meddy Voice
Si unajua mi mwenzako sina kitu
Si unajua Baba na Mama makapukuu
Si unajua nimezaliwa mtukutu
Si unajua nasifika wizi wa kukuu
Maisha yangu unajua
Sina kitu mfukoni fedhea
Na wewe unataka tufunge ndoa
Je nikuulize unaweza kuvumiliaa
Ah maana maisha yangu mimi
Sekunde mbili utanikuta kaburini
Mtaani washachoka tabia zangu mimi
Wamepanga plan wanitupe chini
We maana maisha yangu mimi
Sekunde mbili utanikuta kaburini
Mtaani washachoka tabia zangu mimi
Wamepanga plan wanitupe chini
Eti wanidondoshe mimi
Si unajua unandoto
Mimi niishi na wewe
Ila naona itashindikana
Kila kukicha changamoto
Na wazazi wako wewe wataniona road panya
Si unajua unandoto
Mimi niishi na wewe
Ila naona itashindikana
Kila kukicha changamoto
Na wazazi wako wewe wataniona road panya
Lile serenge serenge Dazeni
Nishakula vitu vyangu sitaki zesheni
Si unajua mtaani wanaita panya
Nalivuta kiunoni ukinichanganya
Nalivuta kiunoni ukinichanganya
Kula kwangu mpaka nikalete usela road
Nawafokoa mtaani mimi panya road
Juzi nimeiba Mbala kwa mama mudy
Wamepanga wakinikamata waniepeleke Kwa God
Ah maana maisha yangu mimi
Sekunde mbili utanikuta kaburini
Mtaani washachoka tabia zangu mimi
Wamepanga plan wanitupe chini
We maana maisha yangu mimi
Sekunde mbili utanikuta kaburini
Mtaani washachoka tabia zangu mimi
Wamepanga plan wanitupe chini
Eti wanidondoshe mimi
Si unajua unandoto
Mimi niishi na wewe
Ila naona itashindikana
Kila kukicha changamoto
Na wazazi wako wewe wataniona road panya
Si unajua unandoto
Mimi niishi na wewe
Ila naona itashindikana
Kila kukicha changamoto
Na wazazi wako wewe wataniona road panya