Оберіть трек для відтворення
Сингл / Трек
Eeeh baba ni wewe uliyenitoa mbali
niko hapa baba nifanye upendavyo
umenifanya wa kipekee kwenye hali
ya moyo wangu umeniumbia moyo
mwema nijue kulikataa baya na kulipenda
jema eeh baba nifanye nizidi kykupenda