Оберіть трек для відтворення
Msamehe Ndugu yako
Akikukosea usimchukie
Nenda kwake msemezane
Umwambie hujapendezwa
Bibilia inasema ukisamehe, samehe yote
Na ukienda kwa Muumba
Utasamehewa, samehewa dhambi
Msamaha kitu chema toka kwake mwenye nguvu
Tulipomwasi katusamehe, katutakasa
Tunavyozidi kusamehewa nasi tuzidi kusameheana
Msamaha, utokao kwake
Msamaha, utokao kwake
Tunapomwasi, na kutubu
Kwa moyo safi na wa ukweli
Twasamehewa, na kutakaswa
Na kufanywa wake, asiye na dhambi
Yohana wa kwanza
Mlango wa kwanza
Mstari wa nane
Tukisema tu wasafi twajidanganya wenyewe
Hatuna ukweli
Msamaha, kitu chema, toka kwake mwenye nguvu
Tulipomwasi katusamehe, katutakasa
Tunavyozidi kusamehewa nasi tuzidi kusameheana
Msamaha, utokao kwake
Msamaha, utokao kwake
Msamaha, utokao kwake
Msamaha, utokao kwake
Msamaha, utokao kwake
Msamaha, utokao kwake Yesu
Msamaha, utokao kwake Yesu, kwake Yesu (kwake Yesu, kwake Yesu)