Оберіть трек для відтворення

Niko na majango wale bado wananuo viti
Eastlando bado sisi ndani ya eastleigh
Na machaji lifestyle bado ya kizing
Eastside na majango bado tuko clean
Niko na majango wale bado wananuo viti
Eastlando bado sisi ndani ya eastleigh
Na machaji lifestyle bado ya kizing
Eastside na majango bado tuko clean
Tuko hapling mboka daily tupate maganjling
Niceling bado zikishika na machaji
Majango hawawezi ni sererahani
Niko ra na mashini huyu ni morio wa dhati
Nikibanje ligi napenda zikiripoti
Mavete kwenye yard kuwarun
Ni kuranking obi bado ni kuburn
Jeshi ya allah una la utarun
Jockey taliban next stop kwa mafan man fiti watagwan
Hizi joh mtaa ni lazima ukue cold heart
Na pia ukue riang' kusurvive na mapeche
Me mjaiding na attack kama vulture
Think about the future think about the past
Mahali nimetoka me hakuna kurehearse
Me I know afisa go me I know have fi search
Mashariki na doba ni kwa
Niko na majango wale bado wananuo viti
Eastlando bado sisi ndani ya eastleigh
Na machaji lifestyle bado ya kizing
Eastside na majango bado tuko clean
Niko na majango wale bado wananuo viti
Eastlando bado sisi ndani ya eastleigh
Na machaji lifestyle bado ya kizing
Eastside na majango bado tuko clean
Tukiwa ndani buda hatupendagi matani
Mtaani buda wanamesea magani
Ni sisi hatunaga mavako za kifisi
Ikijiperform tunageuzaga hivi
Back then me na gang tuko tizi
Feasting kuna wadada wameiva na sisi
Form ni kumatisha kuwakisha ka fifty
Form ni kumatisha kuwakisha ka fifty
Me hutoa form ikikua tunakula sote
Kama kumekauka tunadry sote
Which side inside huku ndio form si hufanya kama zote
Kuwasha magode
Usilete ngori usitucross
Usilete worry usijiforce
Na maform veteran all along
Na tuko form na ma
Niko na majango wale bado wananuo viti
Eastlando bado sisi ndani ya eastleigh
Na machaji lifestyle bado ya kizing
Eastside na majango bado tuko clean
Niko na majango wale bado wananuo viti
Eastlando bado sisi ndani ya eastleigh
Na machaji lifestyle bado ya kizing
Eastside na majango bado tuko clean
Tuko ma hunters tunafeel joh vifiti
Tunadai joh kuwahunt kuwa masist joh
All over in the city mad city
Bado tuna rep it
Mtaa zote jaza east bado hatulalishi
Vile joh tunawafeast tunajinice
Mafans wanadai joh ma masters
Bado wanatunauwo machaji mabro na mamorio
Wa eastlando wote ni majango
Ma head bad kila time joh
Form ni kushade shade shade
Form ni kushade nikiriet na ma
Niko na majango wale bado wananuo viti
Eastlando bado sisi ndani ya eastleigh
Na machaji lifestyle bado ya kizing
Eastside na majango bado tuko clean
Niko na majango wale bado wananuo viti
Eastlando bado sisi ndani ya eastleigh
Na machaji lifestyle bado ya kizing
Eastside na majango bado tuko clean