Оберіть трек для відтворення

Uuuh-oouooo
Uuuh-oouooo
Leo ni siku njema
Maana BWANA amefanya
Leo yamebadilika mambo
Nimekumbukwa na Mimi
Chineke Mo, Chineke Mo
Umbali umenivusha, nivusha BWANA
Ambao kutembea peke yangu, Me nisingeweza
Kama ndege kwa mbawa zako ulinifunika
Na leo nimekuja Mimi mwanao kukutukuza
Hallelujah (Halleluya)
Hallelujah (Halleluya)
Hallelujah (Halleluya)
Amen, Amen (Halleluya)
I come to testify (Halleluya)
Wee ni mwema (Halleluya)
Utukufu wote ni wako (Halleluya)
Amen, Amen (Halleluya)
Uuuh-oouooo
Ooyeee, mmh
Siamini macho yangu, yangu
Kwa haya amenitendea
Amenishangaza BWANA
Niamsheni au ninaota, ota
Simwoni Goliati wangu
Ameangushwa, aaah
Mimi ooh, mimi ooh
Umbali umenivusha, nivusha BWANA
Ambao kutembea peke yangu, Me nisingeweza
Kama ndege kwa mbawa zako ulinifunika
Na leo nimekuja Mimi mwanao kukutukuza
Hallelujah (Halleluya)
Hallelujah (Halleluya)
Hallelujah (Halleluya)
Amen, Amen (Halleluya)
I come to testify (Halleluya)
Uuh, Wee ni mwema (Halleluya)
Utukufu wote ni wako (Halleluya)
Amen, Amen (Halleluya)
Uuuh-oouooo
Uuuh-oouooo