Оберіть трек для відтворення

Dully Kibody
Ahh Vitamin Yooh
Mwambie nipo South Africa
Nipo South Africaa
Aaah
Unajua sikupenda
Kuondoka kuwa mbali na wewe
Mi mwenzako sikupenda
Kuondoka kukuacha mwenyewe
Mtunze sana uyo mwanangu
Itunze sana iyo damu yangu
Nimemis kikongwe Mama yangu
Nimwewamis wadogo wadogo zangu
Mwanangu akikuliza niko wapi mwambie
Nimekwenda mbali nimekwenda kutafuta
Akikikuliza tena naomba mwambie
Nimekwenda mbali nimekwenda kutafutaa
Aking'ang'ania naomba mwambie
Nimekwenda mbali nimekwenda kutafutaa
South Africa
Mwambie nipo South Africa
Nipo South Africa
Mwambie nipo South Africa
Mwambie nipo kiwanjani kiwanjani
Asije leta tafarani tafarani
Mwambie nipo kiwanjani kiwanjani
Asije leta tafarani tafarani
Tena umchungee
Asije kuingia kwenye makundi mabaya
Naomba umchungee
Asije kupewa jina la mtoto mbayaa
Kusema nitarudi kesho
Kesho kutwa uo msemo wangu umeuzoea
Mi nitarudi kesho
Kesho kutwa uo msemo wangu umeuzoea
Mi labda nirudishwe
Kwenye sanduku nimekufa
Ila sio kurudi kapuku nimechoka
Nirudishwe kwenye sanduku nimekufa
Ila sio kurudi kapuku nimechoka
Mimi bora nirudishwe
Kwenye sanduku nimekufa
Ila sio kurudi kapuku nimechoka
Nirudishwe kwenye sanduku nimekufa
Ila sio kurudi kapuku nimechoka
Mwanangu akikuliza niko wapi
Mwambie nimekwenda mbali nimekwenda kutafuta
Akikikuliza tena naomba mwambie
Nimekwenda mbali nimekwenda kutafutaa
Aking'ang'ania naomba mwambie
Nimekwenda mbali nimekwenda kutafutaa
South Africa
Mwambie nipo South Africa
Nipo South Africa
Mwambie nipo South Africa
Aaah
Juzi kati nimekoswa na bunduki South Africa
Nimekamatwa na kete Wamenishika
Mkono wa kuliaa hapa unapwitaa
Nimepigwa cha ukali yaani daah
Pole sana Baba mtu
Daah Ashante shana Ashante shana mama mtu
Respect watafutaji south Africa
Wapambanajiiii