Оберіть трек для відтворення
Oooh
Sikiza
Je umesongwa nazo shida nyingi
Au dhambi kuja na ubaya mwingi
Wakosa tumaini la maisha
Umemwomba Mungu siku nyingi
Au wakosa hujui kwa nini
Wahitaji neema kuendelea
Usichoke
Usilie
Bado nafasi ipo kuona Mungu yupo
Ndani yako
Usichoke
Usilie
Bado nafasi ipo kuona Mungu yupo
Ndani yako
Nguvu zetu twapata kwa kutulia
Na wokovu wetu twamwachia
Ajua kutulinda, atujali
Usichoke
Usilie
Bado nafasi ipo kuona Mungu yupo
Ndani yako
Usichoke
Usilie
Bado nafasi ipo kuona Mungu yupo
Ndani yako
Usichoke
Wacha kulia
Bado nafasi ipo kuona Mungu yupo
Ndani yako
Usichoke
Usilie
Bado nafasi ipo kuona Mungu yupo
Ndani yako