Оберіть трек для відтворення

Okay
Let's go
J-Zero
Haija manze leo ni kadunda
Mr Zero ana syke ya Kapuka
Wacha nianze na gauge ile kapyenga
cfter cTM watu nitajenga
Okay kuna venye natamani
Pigia oh beibeh aletee watu mahoney
Mr Marketer hiyo van niaje?
Juu hakuna venye leo nalipia taxi
cuuuuuuuuu!! Mr driver
Tupeleke tu shopping center
Tuko na syke ya kutei
Shika thao leta KK!
Wanataka niangushe like this (like this)
Wanataka niangushe like that (like that)

Like this (like this)
Like that (like that)

Tuko na Dj (caron)
Manzi yangu na wasee (Sharon)
Destination ni Westie (Ebu tell 'em)
Si kwa club huko parking (Oil Libya)
Okay okay okay (cti?)
Tumefika
Shuka nganya
Nyi madem leteni soda
Si na watchie tutabonga (Hang on)
Ha!
Chase-ka ebu weka hiyo CD (ch?)
Ongeza volume hatuko kanisani (Weka hewa)
Wacha nijaze tu tenki (ch)
Ndio matime nianze kukreki (It's Over!)
Wanataka niangushe like this (like this)
Wanataka niangushe like that (like that)
Wanataka niangushe like this (like this)
Like this (like this)
Like that (like that)
Wanataka niangushe like that (like that)
Wanataka niangushe like this (like this)
Wanataka niangushe like that (like that)
Like that (like that)
Like this (like this)
Okay steam steam zimepanda na
Wanatafuta mamanzi flani wa kuhanya na (cti?)
Madem malaptop
black and yellow black and yellow (black and yellow)
Mix ya Eve D'Souza na huyo manzi Tero (haijaaa!)
Si kila boy ako na taste yake (Gloria)
Basi kila mtu na dem yake (cti)
Kule down kuna maboy wana mapain (wana mapain jo)
Juu sector yetu ndio inatapika na madem (na madem)
Hypemasters -ko na swagger kem kem
Wakileta ufala sisi tutaburn dem (choma hao)
Party imechapa tano cM (eh!)
wacha si tufike tu kwa keja cmen! (ebu omba)
Wanataka niangushe like this (like this)
Wanataka niangushe like that (like that)
Wanataka niangushe like this (like this)
Like this (like this)
Like that (like that)
Wanataka niangushe like that (like that)
Wanataka niangushe like this (like this)
Wanataka niangushe like that (like that)
Like that (like that)
Like this (like this)
Wanataka niangushe like this (like this)
Wanataka niangushe like that (like that)
Wanataka niangushe like this (like this)
Like this (like this)
Like that (like that)
Wanataka niangushe like that (like that)
Wanataka niangushe like this (like this)
Wanataka niangushe like that (like that)
Like that (like that)
Like this (like this)
Like this
Like that
Like this Like this Like that
Like that
Like this
Like that like that like this